Yeremia 5:15
Yeremia 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nami Mwenyezi-Mungu nasema juu yenu enyi Waisraeli: Mimi naleta taifa moja kutoka mbali, lije kuwashambulia. Taifa ambalo halishindiki, taifa ambalo ni la zamani, ambalo lugha yake hamuifahamu, wala hamwezi kuelewa wasemacho.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalia, nitaleta taifa juu yenu litokalo mbali sana, Ee nyumba ya Israeli, asema BWANA; ni taifa hodari, ni taifa la zamani sana, taifa ambalo hujui lugha yake, wala huyafahamu wasemayo.
Shirikisha
Soma Yeremia 5