Yeremia 5:12-13
Yeremia 5:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wamesema uongo juu ya Mwenyezi-Mungu wamesema: “Hatafanya kitu; hatutapatwa na uovu wowote; hatutashambuliwa wala kuona njaa. Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe!
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wamemkataa BWANA, na kusema, Si yeye; wala hayatatupata mabaya; wala hatutaona upanga wala njaa; na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa.
Shirikisha
Soma Yeremia 5