Yeremia 5:11
Yeremia 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, watu wa Israeli na watu wa Yuda, wamekosa kabisa uaminifu kwangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda wamenitenda kwa hiana sana, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 5