Yeremia 42:7-8
Yeremia 42:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya siku kumi, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia. Basi, Yeremia akamwita Yohanani mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa, akawaambia
Shirikisha
Soma Yeremia 42Yeremia 42:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, baada ya siku kumi, neno la BWANA likamjia Yeremia. Ndipo akamwita Yohana, mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa
Shirikisha
Soma Yeremia 42