Yeremia 42:19
Yeremia 42:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa
Shirikisha
Soma Yeremia 42Yeremia 42:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema katika habari zenu, enyi mabaki ya Yuda, Msiingie Misri; jueni sana ya kuwa nimewashuhudia hivi leo.
Shirikisha
Soma Yeremia 42