Yeremia 4:29
Yeremia 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Watakaposikika wapandafarasi na wapiga mishale, kila mmoja atatimua mbio. Baadhi yao watakimbilia msituni, wengine watapanda majabali. Kila mji utaachwa tupu; hakuna mtu atakayekaa ndani.
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mji mzima unakimbia, kwa sababu ya kishindo cha wapanda farasi na wenye pinde wanaingia vichakani, wanapanda juu ya majabali; kila mji umeachwa, hakuna hata mtu mmoja akaaye ndani yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 4