Yeremia 4:23-24
Yeremia 4:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliiangalia nchi, lo! Imekuwa mahame na tupu; nilizitazama mbingu, nazo hazikuwa na mwanga. Niliiangalia milima, lo, ilikuwa inatetemeka, na vilima vyote vilikuwa vinayumbayumba.
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; niliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru. Niliiangalia milima, na tazama, ilitetemeka, na milima yote ilisogea huku na huko.
Shirikisha
Soma Yeremia 4