Yeremia 32:23
Yeremia 32:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao walifika, wakaitwa na kuimiliki. Lakini wao hawakukusikiliza, wala hawakufuata sheria zako. Hawakutenda mambo uliyoamuru. Ndiyo maana utawafanya wapatwe na balaa hii.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lolote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote
Shirikisha
Soma Yeremia 32