Yeremia 2:8
Yeremia 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao makuhani hawakujiuliza: ‘Yuko wapi Mwenyezi-Mungu?’ Wataalamu wa sheria hawakunijua, viongozi wa watu waliniasi; manabii nao walitabiri kwa jina la Baali na kuabudu sanamu zisizo na faida yoyote.”
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Makuhani hawakusema, Yuko wapi BWANA? Wala wanasheria hawakunijua; wachungaji nao waliniasi, nao manabii walitoa unabii kwa Baali, wakafuata mambo yasiyofaidia kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2