Yeremia 2:7
Yeremia 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwaleta katika nchi yenye rutuba, muyafurahie mazao yake na mema yake mengine. Lakini mlipofika tu mliichafua nchi yangu, mkaifanya chukizo nchi niliyowapa iwe yenu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikawatia katika nchi ya shibe, mpate kula matunda yake na mema yake; lakini ninyi mlipoingia katika nchi ile, mliitia unajisi nchi yangu, na urithi wangu mliufanya kuwa chukizo.
Shirikisha
Soma Yeremia 2