Yeremia 2:6
Yeremia 2:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wala hawakusema, Yuko wapi BWANA, aliyetutoa katika nchi ya Misri; akatuongoza jangwani, katika nchi ya ukame na mashimo, katika nchi ya kiu na ya kivuli cha mauti, katika nchi ambayo ndani yake hapiti mtu, wala haikukaliwa na watu?
Yeremia 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawakujiuliza: ‘Yuko wapi Mwenyezi-Mungu aliyetutoa nchini Misri, aliyetuongoza nyikani katika nchi ya jangwa na makorongo, nchi kame na yenye giza nene, nchi isiyopitiwa na mtu yeyote, wala kukaliwa na binadamu?’
Yeremia 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)