Yeremia 2:31
Yeremia 2:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu! Sikilizeni ninachosema mimi Mwenyezi-Mungu: Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi yenye giza nene? Kwa nini basi watu wangu waseme: ‘Sisi tu watu huru; hatutakuja kwako tena!’
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee kizazi litazameni neno la BWANA. Je! Nimekuwa jangwa kwa Israeli? Au nchi yenye giza kuu? Mbona watu wangu wanasema, Sisi tumetoroka, hatutaki kuja kwako tena?
Shirikisha
Soma Yeremia 2