Yeremia 2:28
Yeremia 2:28 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini iko wapi miungu yako uliyojifanyia? Iinuke basi, kama inaweza kukusaidia, wakati unapokuwa katika shida. Ee Yuda, idadi ya miungu yako ni sawa na idadi ya miji yako!
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wako wapi miungu yako ulioifanya? Na wasimame hao, kama wakiweza kukuokoa wakati wa taabu yako; kwa maana hesabu ya miungu yako ni sawa na hesabu ya miji yako, Ee Yuda.
Shirikisha
Soma Yeremia 2