Yeremia 2:27
Yeremia 2:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Hao huuambia mti: ‘Wewe u baba yangu,’ na jiwe: ‘Wewe ndiwe uliyenizaa;’ kwa maana wamenipa kisogo, wala hawakunielekezea nyuso zao. Lakini wakati wa shida husema: ‘Inuka utuokoe!’
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
waliambiao gogo la mti, Wewe u baba yangu; na kuliambia jiwe, Ndiwe uliyenizaa; kwa maana wamenipa mimi visogo, wala hawakunielekezea nyuso zao; lakini wakati wa taabu watasema, Simama ukatuokoe.
Shirikisha
Soma Yeremia 2