Yeremia 2:26
Yeremia 2:26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kama vile mwizi aonavyo aibu akishikwa, ndivyo Waisraeli watakavyoona aibu; wao wenyewe, wafalme wao, wakuu wao, makuhani wao na manabii wao.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama mwizi aonavyo haya akamatwapo, ndivyo waonavyo haya nyumba ya Israeli; wao, na wafalme wao, na wakuu wao, na makuhani wao, na manabii wao
Shirikisha
Soma Yeremia 2