Yeremia 2:14-15
Yeremia 2:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Je, Israeli ni mtumwa, ama amezaliwa utumwani? Mbona basi amekuwa kama mawindo? Simba wanamngurumia, wananguruma kwa sauti kubwa. Nchi yake wameifanya jangwa, miji yake imekuwa magofu, haina watu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Israeli ni mtumwa? Je! Ni mzalia? Mbona amekuwa mateka? Wanasimba wamenguruma juu yake, wametoa sana sauti zao; Nao wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketea, haina watu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2