Waamuzi 2:2
Waamuzi 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kwa upande wenu niliwaamuru msifanye agano na wenyeji wa nchi hii na kwamba madhabahu zao mtazibomoa. Lakini nyinyi hamkuitii amri yangu. Kwa nini mambo haya?
Shirikisha
Soma Waamuzi 2Waamuzi 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yabomoeni madhabahu yao; lakini hamkuisikia sauti yangu; je! Mmefanya haya kwa sababu gani?
Shirikisha
Soma Waamuzi 2