Waamuzi 2:15
Waamuzi 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila walipokwenda kupigana, mkono wa Mwenyezi-Mungu uliwakabili kuwaletea balaa, kama alivyokuwa amewaonya na kuapa. Nao wakawa katika huzuni kubwa.
Shirikisha
Soma Waamuzi 2Waamuzi 2:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Popote Israeli walipotoka kwenda kupigana, mkono wa BWANA ulikuwa kinyume nao ili kuwashinda, kama vile alivyokuwa amewaapia. Nao wakawa katika taabu kubwa.
Shirikisha
Soma Waamuzi 2