Yakobo 1:9-10
Yakobo 1:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu aliye maskini anapaswa kufurahi wakati Mungu anapomkweza, naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ndugu asiye na cheo na afurahi kwa kuwa ametukuzwa; bali tajiri kwa kuwa ameshushwa; kwa maana atatoweka kama ua la majani.
Shirikisha
Soma Yakobo 1