Isaya 66:6
Isaya 66:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya BWANA awalipaye adui zake adhabu!
Shirikisha
Soma Isaya 66