Isaya 66:21-22
Isaya 66:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Pia nitawachagua baadhi yao kuwa makuhani na baadhi yao kuwa Walawi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. “Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu.
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na baadhi ya hao nitawatwaa kuwa makuhani na Walawi, asema BWANA. Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Shirikisha
Soma Isaya 66