Isaya 58:8
Isaya 58:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mkifanya hivyo mtangara kama pambazuko, mkiwa wagonjwa mtapona haraka. Matendo yenu mema yatawatangulia, nami nitawalindeni kutoka nyuma kwa utukufu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na uponyaji wako utatokea punde; na haki yako itakutangulia; utukufu wa BWANA utakufuata nyuma ukulinde.
Shirikisha
Soma Isaya 58