Isaya 58:7
Isaya 58:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfungo wa kweli ni kuwagawia wenye njaa chakula chako, kuwakaribisha nyumbani kwako maskini wasio na makao, kuwavalisha wasio na nguo, bila kusahau kuwasaidia jamaa zenu.
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usikose kumsaidia mtu aliye jamaa yako.
Shirikisha
Soma Isaya 58