Isaya 40:12
Isaya 40:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani awezaye kupima maji ya bahari kwa konzi yake, kuzipima mbingu kwa mikono yake? Nani awezaye kuutia udongo wa dunia kikombeni; kuipima milima kwa mizani au vilima kwa kipimo cha uzani?
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliyeyapima maji kwa konzi ya mkono wake, na kuzikadiria mbingu kwa shubiri, na kuyashika mavumbi ya dunia katika pishi, na kuipima milima kwa uzani, na vilima kama kwa mizani?
Shirikisha
Soma Isaya 40