Isaya 1:3
Isaya 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ngombe humfahamu mwenyewe, punda hujua kibanda cha bwana wake; lakini Waisraeli hawajui, watu wangu, hawaelewi!”
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ng'ombe amjua bwana wake, Na punda ajua kibanda cha bwana wake; Bali Israeli hajui, watu wangu hawafikiri.
Shirikisha
Soma Isaya 1