Isaya 1:29
Isaya 1:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtaionea aibu hiyo mialoni mliyoipenda sana; mtafadhaika kwa sababu ya bustani mlizofurahia.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watatahayarika kwa sababu ya mialoni mliyoitamani, nanyi mtaaibishwa kwa sababu ya bustani mlizozichagua.
Shirikisha
Soma Isaya 1