Isaya 1:27-28
Isaya 1:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo. Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja; wanaomwacha Mwenyezi-Mungu watateketezwa.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sayuni itakombolewa kwa hukumu, na waongofu wake kwa haki. Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja, nao wamwachao BWANA watateketezwa.
Shirikisha
Soma Isaya 1