Isaya 1:26
Isaya 1:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawapeni waamuzi wenu kama kwanza na washauri wenu kama pale awali. Ndipo Yerusalemu utakapoitwa ‘Mji wa Uadilifu’ utaitwa ‘Mji Mwaminifu’”
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitawarejesha tena waamuzi wako kama walivyokuwa hapo kwanza, na washauri wako kama hapo mwanzo; baada ya hayo utaitwa, Mji wa haki, mji mwaminifu.
Shirikisha
Soma Isaya 1