Isaya 1:25
Isaya 1:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote
Shirikisha
Soma Isaya 1