Isaya 1:24
Isaya 1:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo asema Bwana Mwenyezi-Mungu, Mwenye Nguvu wa Israeli: “Nitawamwagia maadui zangu hasira yangu, nitawalipiza kisasi wapinzani wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, asema Bwana, BWANA wa majeshi, Mwenye enzi, wa Israeli, Nitapata faraja kwa hao wanipingao, nitalipiza kisasi kwa adui zangu
Shirikisha
Soma Isaya 1