Isaya 1:23
Isaya 1:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Viongozi wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakuu wako ni waasi, na rafiki za wezi; kila mtu hupenda rushwa, hufuata malipo; hawampatii yatima haki yake, wala maneno ya mjane hayawafikii.
Shirikisha
Soma Isaya 1