Isaya 1:21
Isaya 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Jinsi gani mji uliokuwa mwaminifu sasa umegeuka kuwa kahaba! Wakati mmoja haki ilitawala humo, lakini sasa umejaa wauaji.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mji huu uliokuwa mwaminifu umekuwaje kahaba! Yeye aliyejaa hukumu ya haki; haki ilikaa ndani yake, bali sasa wauaji!
Shirikisha
Soma Isaya 1