Isaya 1:2
Isaya 1:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana BWANA amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi!
Shirikisha
Soma Isaya 1