Isaya 1:18
Isaya 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Njoni, basi, tuhojiane. Ingawa mna madoa mekundu ya dhambi, mtatakaswa na kuwa weupe kama theluji; madoa yenu yajapokuwa mekundu kama damu, mtakuwa weupe kama sufu.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu.
Shirikisha
Soma Isaya 1