Isaya 1:1
Isaya 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Maono aliyoyaona Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na mji wa Yerusalemu, nyakati za utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda.
Shirikisha
Soma Isaya 1Isaya 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya ni maono ya Isaya, mwana wa Amozi aliyoyaona kuhusu Yuda na Yerusalemu, siku za Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda.
Shirikisha
Soma Isaya 1