Waebrania 4:11
Waebrania 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tujitahidi kuingia katika pumziko hilo, ili asiwepo yeyote miongoni mwetu atakayekataa kutii kama walivyofanya wao.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, na tufanye bidii kuingia katika pumziko lile, ili kwamba mtu yeyote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.
Shirikisha
Soma Waebrania 4