Mwanzo 1:29
Mwanzo 1:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mmea utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa chakula chenu
Shirikisha
Soma Mwanzo 1