Mwanzo 1:2
Mwanzo 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1