Ezekieli 10:12-13
Ezekieli 10:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Miili ya hao viumbe, migongo yao, mikono na mabawa yao, pamoja na magurudumu, vyote vilijaa macho pande zote. Niliambiwa kuwa magurudumu yale yanaitwa, “Magurudumu Yanayozunguka.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 10Ezekieli 10:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mwili wao mzima, na maungo yao, na mikono yao, na mabawa yao, na magurudumu, wamejaa macho pande zote, hata magurudumu waliyokuwa nayo wale wanne. Na magurudumu hayo yaliitwa Kisulisuli, nami nilisikia.
Shirikisha
Soma Ezekieli 10