Kutoka 7:8-9
Kutoka 7:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, “Farao atakapowaambieni mthibitishe jambo hilo kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Aroni aichukue fimbo yake, aitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.”
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akanena na Musa na Haruni, akawaambia, Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.
Shirikisha
Soma Kutoka 7