Kutoka 7:16
Kutoka 7:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mwambie hivi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, amenituma kwako, naye asema hivi, ‘Waache watu wangu waende zao ili wanitumikie jangwani, lakini mpaka sasa wewe hupendi kutii.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, amenituma nije kwako, kusema, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia jangwani; nawe, tazama! Hujasikia hata sasa.
Shirikisha
Soma Kutoka 7