Waefeso 3:3-4
Waefeso 3:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango wake uliofichika. (Nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili, nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo).
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ya kwamba kwa kufunuliwa nilijulishwa siri hiyo, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache. Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 3