Waefeso 3:18-19
Waefeso 3:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
kusudi muweze kufahamu pamoja na watu wote wa Mungu jinsi upendo wa Kristo ueneavyo kwa mapana na marefu, kwa kimo na kina. Naam, mpate kujua upendo wa Kristo upitao elimu yote, mjazwe kabisa utimilifu wote wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili mpate kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, na urefu, na kimo, na kina; na kuujua upendo wake Kristo, upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi, mpate kutimilika kwa utimilifu wote wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 3