Waefeso 3:12-13
Waefeso 3:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini. Kwa hiyo, nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa ajili yenu, maana hayo ni kwa ajili ya utukufu wenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika yeye tunao ujasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya kumwamini. Basi naomba msikate tamaa kwa sababu ya dhiki zangu kwa ajili yenu, zilizo utukufu wenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 3