Waefeso 3:1-2
Waefeso 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na hayo, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu, namwomba Mungu. Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 3Waefeso 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo mimi Paulo ni mfungwa wake Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi Mataifa; ikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu
Shirikisha
Soma Waefeso 3