Kumbukumbu la Sheria 4:6
Kumbukumbu la Sheria 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Shikeni na kuyatekeleza masharti na maagizo hayo maana mkifanya hivyo watu wa mataifa mengine watakapopata kujua masharti hayo, watatambua kuwa nyinyi ni wenye hekima na busara, wakisema: ‘Kweli watu wa taifa hili kuu wana hekima na busara!’
Kumbukumbu la Sheria 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.
Kumbukumbu la Sheria 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.