Kumbukumbu la Sheria 4:5
Kumbukumbu la Sheria 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama BWANA, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwingiayo ili kuimiliki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4