Kumbukumbu la Sheria 4:47
Kumbukumbu la Sheria 4:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliitwaa nchi yake na nchi ya mfalme Ogu wa Bashani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko mashariki ya mto Yordani.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakaishika nchi yake, ikawa milki yao, na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, ndio wafalme wawili wa Waamori, waliokuwa ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4