Kumbukumbu la Sheria 4:46
Kumbukumbu la Sheria 4:46 Biblia Habari Njema (BHN)
wakiwa ngambo ya mto Yordani, katika bonde lililo mbele ya Beth-peori, katika nchi iliyokuwa ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala kutoka mjini Heshboni, ambaye Mose na Waisraeli walimshinda walipotoka Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ng'ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4