Kumbukumbu la Sheria 4:2
Kumbukumbu la Sheria 4:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usiongeze wala usipunguze chochote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya BWANA Mungu wenu ambayo nawapa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4